Hivi ndivyo walivyo fanya Salaf
Mosi ni kuwa hatukuwaacha watu hawa na himdi zote ni za Allaah. Mawaidha yetu yanathibitisha hilo kwamba tunawakataza.
Pili tutatilia uzito mkubwa kupambana na Ahl-ul-Bid´ah na kuwasimamia kidete mpaka Allaah (´Azza wa Jall) azime mwangaza wao. Tunamuomba Allaah (´Azza wa Jall) atusaidie na tufanikiwe.
Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah) amesema:
"Kwa hiyo Salaf na maimamu waliyakemea kwa ukali na wakatahadharisha juu ya watu wa Bid´ah katika kila kona ya dunia. Walitahadharisha sana kabisa fitina yao na wakatilia uzito mkubwa katika hilo kuliko walivyotilia uzito machafu, dhuluma na unyanyasaji. Kwa sababu madhara ya Bid´ah na kuiharibu dini na vipingamizi vyake ni vikubwa." Madaarij-us-Saalikiyn (1/372).
Mzungumzaji: Shaykh ´Abdus-Salaam bin Barjas Aal ´Abdil-Kariym
Chanzo: al-Jarh wat-Ta´diyl ´indas-Salaf, uk. 70-71
Toleo la: 30.03.2016
No comments:
Post a Comment