Wednesday, May 11, 2016

JE, KUTUKUZA NISFU SHA 'BAAN IMETHIBITI?

Swali:
Je, kumethibiti kitu kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) juu ya fadhila za usiku tarehe 15 Sha´abaan?
Jibu
Hapana. 
Usiku wa tarehe 15 Sha´abaan hakukuthibiti Hadiyth hata moja. 
Ni kama masiku mengine.

Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan

No comments:

Post a Comment