Sunday, May 1, 2016

JE, INAJUZU KUKAA NA 'AWWAAM WA AHLUL BID'AH?

Swali:

Salaf wamekataza kukaa na Ahl-ul-Bid´ah. Je, ´Awwaam ambao wanafanya Bid´ah wanaingia katika makatazo haya?
 

Jibu

Wakibainishiwa na wakaendelea kufanya Bid´ah mtu asikae nao.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan

Chanzo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14020
Tarehe: 19.08.1433/09.07.2012
Toleo la: 25.03.2016

No comments:

Post a Comment