Swali:
Kumesihi kitu juu ya Hadiyth zinazozungumzia Nisfu Sha´abaan?
Jibu
Hapana.
Hapakuthibiti kitu zaidi ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifunga siku nyingi za Sha´abaan.
Hili ndio limethibiti kwake. Mbali na hapo hapakuthibiti kitu kuhusiana na Sha´abaan wala usiku wa Nisfu Sha´abaan.

No comments:
Post a Comment