Jibu
Ndio,
akikuomba ni wajibu kwako kumpa.
Mpe kila unachoweza hata kama kitakuwa
ni kidogo.
Ikiwa huna angalau mwambie maneno mazuri na kumuombea Du´aa.
Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (74)
http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf--1432-10-28.mp3
No comments:
Post a Comment