Swali
Baadhi ya watu wanasema nchi ya leo inayoitwa kuwa ni dola ya Kiislamu ni Khawaarij.
Je, haya ni sahihi?
Jibu:
Hili
halina shaka.
Sifa zao na matendo yao, yaani ISIS, ni matendo ya
Khawaarij. Haitakiwi kusema dola ya "Kiislamu”.
Wanatakiwa kuitwa
”ISIS”.
Hili ndio jina linalowafaa.
Je, dola ya Kiislamu inawachinja
watu kwa visu?
Inawachinja watu kwa visu, uharibifu na kuua?
Hili halina
lolote kuhusiana na Uislamu.
Chanzo:
´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad http://www.youtube.com/watch?v=2MfeGXUFNHw
No comments:
Post a Comment