Wednesday, May 4, 2016

KUGUSA TUPU YA MTOTO KUNATENGUA WUDHUU ?

Swali:
Kugusa tupu ya mtoto wakati wa kumuogesha kunatengua Wudhuu au hapana?

 
Jibu
Dhahiri ni kwamba kunatengua. Kwa sababu kumepokelewa:
“... na kugusa tupu.”
Kunaingia ndani yake tupu ya mtoto na ya mkubwa.

´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy

No comments:

Post a Comment