Swali:
Kuna
wenye kusema kuwa sigara ni halali kwa kutumia hoja ya biashara ya
sigara Saudi Arabia ambayo ni nchi ya Kiislamu ambapo mfumo wake ni
Qur-aan na Sunnah. Vipi tutamraddi?
Jibu
Haya ni maneno ima ya mjinga au mtu anayefuata matamanio yake. Matendo ya watu sio dalili hata kama watakuwa waislamu.
Hata wao wanaweza kutenda dhambi wakati fulani. Matendo yao sio dalili. Hoja ni dalili.
Kitendo cha watu kuuza sigara sio dalili yenye kuonesha kuwa inajuzu. Ni wenye kukosea. Wewe unatumia hoja kwa kosa?
Hii sio dalili. Haya ni maneno ima ya mjinga au mtu mkaidi.
Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf--1432-08-02.mp3
Toleo la: 30.09.2015
No comments:
Post a Comment