Saturday, May 21, 2016

HAWA NI ZAIDI YA KHAWARIJ

Swali
 Jibu
Kwa wingi. Ipo kwa wingi. 
Ulipuaji na kujitoa muhanga, hii ni kazi ya Khawaarij, bali ni baya zaidi kuliko kazi ya Khawaarij. 
Khawaarij hawakuwa wanalipua majumba, wanawaua wanawake na watoto, wenye mkataba na waliopewa amani. Khawaarij walikuwa wakiwafukuza vitani. 
Walikuwa wakiwafukuza na hawakuwa wakifanya khiyana na wakilipua majumba ya familia. 
Haya ni zaidi ya Khawaarij na tunaomba kinga kwa Allaah. Asli ni kitendo cha Khawaarij lakini wamezidisha juu yake katika kueneza ufisadi katika ardhi.

Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan

No comments:

Post a Comment