Swali:
Kupenda sifa na matapo kwa watu ni jambo lenye kulaumika kwa hali yoyote?
Jibu
Ndio,
ni jambo lenye kulaumika kwa hali yoyote.
Mtu asipende kusifiwa na kutapwa. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kumsifu mtu mbele yake:
"Mkiwaona wenye kusifu watupieni kwenye nyuso zao mchanga."
Kwa sababu jambo hili linapelekea kuwanyanyua na kujiona.
Mtu anatakiwa kujiona kuwa ni mwenye mapungufu na ajione kuwa yuko duni kuliko wengine.
Asijinyanyue.
Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (72)
http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf--1432-10-14.mp3
No comments:
Post a Comment