Monday, May 9, 2016

NINI CHA KUFANYA ENDAPO HAKUNA SEHEMU YA KUZIKIA WAISLAMU?

Swali:
Tufanye kitu gani akifa Muislamu katika mji wa kikafiri na wala hakuna mahali maalum pa kuwazika Waislamu tu?

 
Jibu
Hameni mtoke mwende katika miji ya Waislamu.

´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad

No comments:

Post a Comment