Swali
Je,inajuzu kwa mtu kuvaa nguo ilio na msalaba?
Jibu
Hapana. Haijuzu kuvaa nguo ilio na msalaba wala nguo ilio na picha.
Nguo zilizo na picha hazijuzu wala ilio na msalaba. Ya msalaba ni mbaya zaidi.
Anataka kuvaa nembo za makafiri katika mavazi yao? Haijuzu.
Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Fath-il-Majiyd (34) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid-17-11-1436-01.mp3
Toleo la: 02.05.2016
No comments:
Post a Comment