Monday, January 14, 2019

MAZINGAOMBWE NI UCHAWI PIA..! 
*Uchawi aina mbili zote ni kufuru kubwa*
Swali: 
Uchawi wa kikweli na wa mazingaombwe ni kufuru kubwa?

Jambo haliwi katika vichenguzi vya Uislamu isipokuwa pale litapokuwa ni katika kufuru kubwa inayomtoa mtu nje ya Uislamu. 
Kwa sababu kufuru ndogo sio katika vichenguzi vya Uislamu.

Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (07) http://ajurry.com/…/chorohat-nawa…/charh-salah-fawzan/07.mp3
Imechapishwa: 13/01/2019

No comments:

Post a Comment