Swali:
Wakati
mwingine najiwa na mwendawazimu anayeniomba pesa na anataka kununua
chakula. Je, nimpe pesa au naingia katika Kauli Yake (Ta´ala):
وَلَا تُؤْتُوا السُّفَهَاءَ أَمْوَالَكُمُ الَّتِي جَعَلَ اللَّـهُ لَكُمْ قِيَامًا
“Wala msiwape wendawazimu mali zenu ambazo Allaah Amekujaalieni kuwa ni msingi wa kujipatia riziki... “ (04:05)

Jibu
Mpe walii
wake.
Mwendawazimu lazima awe na walii. Mpe walii wake ili aweze kumhudumia na kumnunulia haja zake.
Ukimpa mwendawazimu atazichana na hawezi kuzitumia vizuri. Ataziangamiza.

No comments:
Post a Comment