Wednesday, May 11, 2016

HAKUNA KATAZO LA KUFUNGA BAADA YA SIKU 15 ZA SHA'BAAN

Swali:
Tumesikia baadhi ya watu kwamba asiyefunga kuanzia mwanzoni wa Sha´abaan mpaka siku ya kumi na tano, basi haijuzu kwake kufunga masiku mengine yaliyobakia.

Jibu
Sio sahihi
Hadiyth:
“Sha´abaan ikifika nusu msifunge.”
ni dhaifu.

´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aal ash-Shaykh

No comments:

Post a Comment