Saturday, May 14, 2016

JE, RADI NI SAUTI YA MALAIKA?

 
 
Je, ni sahihi kwamba radi ni sauti ya Malaika miongoni mwa Malaika?

Allaah ndiye Mwenye kujua zaidi. 
Hatujui juu ya hili kitu. 
Ni sauti ya radi tu:

وَيُسَبِّحُ الرَّعْدُ بِحَمْدِهِ وَالْمَلَائِكَةُ مِنْ خِيفَتِهِ
Na radi inamtakasa (Allaah) kwa kumsifu, na Malaika (pia humtakasa) kwa kumkhofu.” (13:13)

 
Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan

No comments:

Post a Comment