Jibu
Ndio,
unahesabika ni katika madhambi pale ambapo utamzuia mtu na kheri, Zakaah
na haki ambazo ni wajibu.
Katika hali hii itakuwa ni katika madhambi
makubwa.
Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (73) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf--1432-10-21.mp3
No comments:
Post a Comment