Sunday, May 15, 2016

JE, INAJUZU KULA FUTARI MSIKITINI?

Swali
Je, inajuzu kuwafuturisha wafungaji ndani ya Misikiti?
Jibu
Ikiwa kitendo hichi kinaichafua Misikiti na kunabaki mavyakula, haijuzu. 
Ama ikiwa kufanya hivi haipelekei kuidhuru Misikiti wala kubaki mavyakula na [baada ya hapo] ikasafishwa, ni sawa.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42)
 http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf--1431-3-22.mp3

No comments:

Post a Comment