الحديث الرابع عشر
" لا يحل دم امريء مسلم
إلا بإحدى ثلاث"
عن ابْنِ مَسْعُودٍ رضي اللهُ عنه قالَ: قالَ رسُولُ الله صلى الله
عليه وسلم: ((لاَ يَحِلُّ دَمُ امْرِئٍ مُسْلِمٍ إلاّ بإحْدَى ثَلاَثٍ:
الثَّيِّبُ الزَّاني،
وَالنَّفْسُ بالنّفْسِ، وَالتَّارِكُ لِدِيِنِهِ
الْمُفَارِقُ لِلْجَماعَةِ)).
رَوَاهُ الْبُخَارِيّ
وَمُسْلِمٌ
HADITHI YA 14
DAMU YA MUISLAMU ISIMWAGWE ISIPOKUWA KWA SABABU
TATU
Kutoka
kwa Ibn Mas'udرضي
الله عنه ambae alisema:
Mtume صلى
الله عليه وسلم kasema :
Damu
ya Muislamu haiwezi kwa haki kumwagwa isipokuwa katika hali tatu: Mzinzi
Muolewa (Mtu mzima aliyeoa/olewa), uhai kwa uhai (nafsi kwa nafsi) na kwa
yule anaewacha dini na akajifarikisha
na jamaa (kundi) (amejitenga na watu wa
dini yake).
Imesimuliwa
na Al-Bukhari na Muslim
CHANZO: Arbauna a-nnawawwiyy ,No.14
No comments:
Post a Comment