Monday, May 9, 2016

JE, INAJUZU KUMPA MTU PESA ILI AKUOMBEE DUA?

Swali:
Mwenye kuwapa watoto wadogo pesa ili wamuombee Du´aa. Je, kitendo hichi kinajuzu?

 
Jibu
Hapana,
 mtu hapewi ujira kwa ajili ya kumuombea mwengine. 
Akiomba kwa ajili ya [kupewa] ujira haitokubaliwa Du´aa yake. Kwa kuwa Du´aa ni ´Ibaadah, 
haichukuliwi ujira.

´Allaamah Swaalih bin Fawzaan

No comments:

Post a Comment