Thursday, May 19, 2016

JE, QIYAAMAH KITAKUWA IJUMAA ?

Swali
Je, imethibiti kuwa Qiyaamah kitasimama siku ya Ijumaa?

Jibu
Ndio, imethibiti kuwa Qiyaamah kitakuwa siku ya Ijumaa. 
Hii ni miongoni mwa sifa za kipekee za siku ya Ijumaa.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (57)
 http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf--1432-01-07.mp3

No comments:

Post a Comment