Mwenye kuzisahihisha Hadiyth hizi ni mwongo
kutambaa na kwamba yeye ndiye Swahabah wa mwisho ambaye atayeingia,
kwamba Abu Bakr alisema kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimweleza:
"Nilimuona Mola wangu kwa macho yangu."
na kwamba alimwambia ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhum):
"Nilimuona Mola wangu kwa moyo wangu."
kuwa ni Swahiyh, ni mzushi na mwongo kwa mujibu wa wanachuoni wote. Mtu kama huyo anastahiki kutiwa adabu vikali.
Mwandishi: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
Chanzo: Mukhtaswar-ul-Fataawaa al-Miswriyyah (2/420)
Ufupisho: Imaam Badr-ud-Diyn Muhammad bin ´Aliy al-Hanbaliy al-Ba´liy (aliyefariki. 777)
Toleo la: 31.12.2015
No comments:
Post a Comment