Saturday, May 14, 2016

HUKMU YA KUPIGA CHAFYA CHOONI

 
 
Swali
Mtu aseme nini akipiga chafya chooni?
 
Jibu
Mhimidi Allaah ndani (ya moyo wako).
 
 
Imaam Ahmad bin Hanbal (Rahimahu Allaah). 
Kitaab-ul-Masaail ’an Imaamiy Ahlil-Hadiyth cha Kawsaj

No comments:

Post a Comment