Swali:
Jibu Wanamsemea
uongo ´Umar.
Kuna
mapote ambayo yanasherehekea usiku wa Nisfu Sha´baan na wanasema kuwa
´Umar (Radhiya Allaahu ´anh) alikuwa akisherehekea usiku huu.
Tunaomba utubainishie hukumu?
Tunaomba utubainishie hukumu?
´Umar hakuwa anafanya hivi. ´Umar ni miongoni mwa watu waliokuwa msitari wa mbele kabisa kujitenga mbali na Bid´ah na kutahadharisha nazo.
Usiku wa Nisfu Sha´baan hakukuthibiti kitu na tarehe 15 Sha´baan hakuna swawm.
Hili halikuthibiti.
Hii ni miongoni mwa Bid´ah ambazo Allaah hakuteremsha dalili yoyote juu yake.
Mwenye kutaka kufanya ´ibaadah ashikamane na mambo yaliyowekwa katika Shari´ah na yale yaliyowekwa na Allaah na Mtume Wake.
Haya yatamtosheleza na Bid´ah.
Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14005
No comments:
Post a Comment