Hadiyth qudsiy
Mja Wangu Ana Makazi Mazuri Kwangu
Ananishukuru
Mja Wangu Ana Makazi Mazuri Kwangu Ananishukuru
عَنْ أَبِي هُرَیْرَةَ قَالَ :سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَیْهِ وَسَلَّمَ یَقُولُ : ((إِنَّ اللَّهَ عَزَّ وَجَلَّ یَقُولُ : إِنَّ عَبْدِي الْمُؤْمِنَ عِنْدِي بِمَنْزِلَةِ كُلِّ خَیْرٍ
یَحْمَدُنِي وَأَنَا أَنْزِعُ نَفْسَهُ مِنْ بَیْنِ جَنْبَیْهِ )) مسند أحمد
Kutoka kwa Abu Hurayrah رضي الله عنه kwamba nimemsikia Mtume صلى الله علیه وسلم
amesema: ((Allaah Aliyetukuka Husema: Hakika mja Wangu Muumini yuko katika
makazi mazuri Kwangu. Ananishukuru hata Ninapomtoa roho kutoka baina pandezake mbili))
[Musnad Ahmad]
No comments:
Post a Comment