Thursday, May 12, 2016

JE, INAFAA KUUA MBWA BILA SABABU?

Swali:


Jibu
Hapana. 
Isipokuwa mbwa tu za kushambulia. 
Mbwa yenye kushambulia inafaa kuiua, ama zisizoshambulia hapana. Haijuzu.


Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (11) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf--09041434.mp3

No comments:

Post a Comment