Monday, May 9, 2016

SWAWM YA SHA'BAAN IMETHIBITI?

Swali:
Kumethibiti kitu kuhusu swawm ya Sha´baan? Ni ipi hukumu ya kuhusisha kufunga 15 Sha´baan katika kila mwaka?

 
Jibu Ndio. 
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifunga Sha´baan. Alikuwa akifunga siku zake nyingi. 
Ni Sunnah kufunga Sha´baan na mtu akithirishe kufunga ndani yake.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/14321118_31.mp3

No comments:

Post a Comment