Sunday, May 15, 2016

JE, TUACHE NYAMA KWENYE MIFUPA?

Swali
Je, inajuzu kwetu kuacha nyama kwenye mifupa?

 Jibu
Hapana. 
Hukuambiwa uache nyama kwenye mifupa. 
Ulichoambiwa ni usijisafishe nayo baada ya kukidhi haja zako.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh Fath-il-Majiyd (28)
http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%

No comments:

Post a Comment