Sunday, May 15, 2016

HUKMU YA KUCHINJA KUKU KWA UMEME

Swali
Kabla ya kuku kuchinjwa anapigwa umeme na inatokea wakati mwingine anakufa kwa sababu ya umeme huo. Kisha baada ya hapo ndio anachinjwa na halafu anapigwa umeme kwa mara nyingine. Mtu anaweza kula kuku kama hii?

Jibu
Hapana
Ni myamafu. Inahesabika kuwa haikuchinjwa. Haijuzu.

Mzungumzaji: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Chanzo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01)
 http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh--14340126_0.mp3

No comments:

Post a Comment