عَنْ أَبي مُحمَّدٍ الحسَنِ بْنِ عليّ
بْنِ أبي طَالِب، سِبْطِ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم وَرَيْحَانَتِهِ رضيَ
اللهُ عنهُما، قالَ: حَفِظْتُ مِنْ رَسُولِ الله
عن ابْنِ مَسْعُودٍ رضي اللهُ عنه قالَ: قالَ رسُولُ الله صلى الله
عليه وسلم: ((لاَ يَحِلُّ دَمُ امْرِئٍ مُسْلِمٍ إلاّ بإحْدَى ثَلاَثٍ:
الثَّيِّبُ الزَّاني،
Ni
ipi nasaha yako kwa wale walioathirika na Khawaarij wa leo, wanawatetea
na wanawaita kuwa ni "Mujaahiduun"? Watu hawa hawawafuati wanachuoni
wakubwa na nasaha zao...
Kuhusu
matendo [ambayo mtu humuonyesha Allaah hasira kwayo], ni pamoja na
kuchana nguo, kupiga mashavu, kukokota nywele na mfano wa hayo. Baadhi
ya watu wanafanya hivi. Hata hivyo lililo kubwa, chafu na baya zaidi ni
kujiua.
عن أبي هُرَيْرَةَ رضي الله عنهُ: أنَّ رسُولَ اللهِ صلى الله عليه
وسلم قال : ((مَنْ كانَ يُؤمِنُ باللهِ والْيَوْمِ الآخِرِ فَلْيَقُل خَيْراً أَوْ
لِيَصْمُتْ، ومَنْ
عن أبي يَعْلَى شَدَّادِ بْنِ أَوْسٍ رضي اللهُ عنه، عن رسولِ اللهِ صلى
الله عليه وسلم قال: ((إنَّ اللهَ كَتَبَ الإِحْسانَ على كلِّ شَيءٍ، فإذا
قَتَلْتُمْ
Kabla
ya kuku kuchinjwa anapigwa umeme na inatokea wakati mwingine anakufa
kwa sababu ya umeme huo. Kisha baada ya hapo ndio anachinjwa na halafu
anapigwa umeme kwa mara nyingine. Mtu anaweza kula kuku kama hii?
Nikisoma
Adhkaar za kulala halafu nikashegama, kisha nikaenda kukidhi haja kwa
kusahau, kisha nikarudi kwenye kitanda mara ya pili na wala hapakupita
muda mrefu. Je, nirudie kusoma Adhkaar mara nyingine?
Wakati
mwingine najiwa na mwendawazimu anayeniomba pesa na anataka kununua
chakula. Je, nimpe pesa au naingia katika Kauli Yake (Ta´ala): وَلَا تُؤْتُوا السُّفَهَاءَ أَمْوَالَكُمُ الَّتِي جَعَلَ اللَّـهُ لَكُمْ قِيَامًا
Kuna
mtu aliniuliza kuhusu hukumu ya kujitoa manii na nikawa nimemjibu kuwa
nijuavyo ni kwamba ni haramu. Akaniomba dalili na nikawa sijui. Ni ipi
dalili?
Tumesikia
baadhi ya watu kwamba asiyefunga kuanzia mwanzoni wa Sha´abaan mpaka
siku ya kumi na tano, basi haijuzu kwake kufunga masiku mengine
yaliyobakia.
Kuna
mapote ambayo yanasherehekea usiku wa Nisfu Sha´baan na wanasema kuwa
´Umar (Radhiya Allaahu ´anh) alikuwa akisherehekea usiku huu. Tunaomba
utubainishie hukumu?
Kuna
wenye kusema kuwa sigara ni halali kwa kutumia hoja ya biashara ya
sigara Saudi Arabia ambayo ni nchi ya Kiislamu ambapo mfumo wake ni
Qur-aan na Sunnah. Vipi tutamraddi?
Watu wamewaona Khawaarij kwa
macho yao. Wameona namna wanavyoua na kufanya mauaji ya kinyama,
wanaunguza na kuharibu, wanavunja na kuangamiza. Wakati yanapomalizika
matendo ya Khawaarij utamuona huyu anamsalimia yule.
Unasemaje
kwa yale yanayofanywa na baadhi ya vijana katika watoto wa waislamu hii
leo ambapo wanavaa jezi za mazoezi zilizo ima na nembo za nchi za
kikafiri, baadhi ya wachezaji mpira makafiri au ziko na nembo zilizo na
kasumba kwa baadhi ya vyama vya mazoezi vya makafiri kwa kuwapenda. Je,
huku ni katika kuwapenda makafiri?
Imethibiti kwa wanachuoni
wengi wa Taabi´uun wakikataza kukaa na Ahl-ul-Bid´ah wal-Ahwaa´. Hilo si
kwa sababu ya jengine isipokuwa ni kwa kukhofia mzushi huyo asije
akamuathiri mwenye kukaa naye. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)
amehimiza juu ya
Upande wa pili wa ufafanuzi wa
maneno haya yatakuwa ni maneno ya Ibn-ul-Qayyim (Rahimahu Allaah). Watu
wengi bila shaka watakasirika na kutukosoa kwa sababu tunawazungumzia
watu wa Bid´ah na kuwaacha watenda madhambi kama wanywa pombe na
wengineo.