Swali:
Je wazinifu wana Tawbah?
Jibu
Kila mwenye madhambi ana Tawbah hata kafiri ana Tawbah.
قُل لِلَّذِينَ كَفَرُواْ إِن يَنتَهُواْ يُغَفَرْ لَهُم مَّا قَدْ سَلَفَ
”Waambie wale waliokufuru: Wakikoma watasamehewa yaliyokwisha pita.” (8:38)
Hakuna mtu hata mmoja kazuiliwa kuomba tawbah, na mwenye kutubia Allaah Humsamehe. Hata dhambi yake ikiwa kubwa, hakika Allaah Anakubali tawbah.
وَهُوَ الَّذِي يَقْبَلُ التَّوْبَةَ عَنْ عِبَادِهِ وَيَعْفُو عَنِ السَّيِّئَاتِ وَيَعْلَمُ مَا تَفْعَلُونَ
”Naye ndiye Anayepokea Tawbah kwa waja wake, na Anasamehe makosa, na anayajua mnayoyatenda.” (42:25)

No comments:
Post a Comment