Monday, February 19, 2018
WANAWAKE TOENI SADAKA...
MUSITEGEE HATA KIDOGO KATIKA HILI
AMESEMA MTUME MUHAMMAD (Swalla llahu a'leyh wassallam)
"Enyi kongamano la wanawake TOENI SADAKA "
KWA HAKIKA NIMEONA WINGI WA WANAWAKE MOTONI...
UFAFANUZI
Kwa hakika utoaji wa sadaka husaidia watu kuokoka na adhabu ya moto na wala wasione kuwa ni majukumu ya wanaume katika kutoa...
ALLAH ANAJUA ZAIDI
HAKIKISHA UNATAMKA HAYA
Ewe ngugu yangu katika imani..
Tambua kuwa ALLAH hana mshirika..
ALLAH ni mpweke..
ALLAH ni mlezi wa walimwengu..
ALLAH NI MLEZI WA VILE VILIVYOMO MBINGUNI, ARDHINI NA VILIVYOPO KATI YA MBINGU NA ARDHI
ALLAH ni mshindi mwenye nguvu na ni mpole mwenye kusamehe waja wake
Subscribe to:
Posts (Atom)