Thursday, September 6, 2018

JE, INAFAA KUTUNZA NGUO ZA MAITI ?

INAFAA KUTUNZA NGUO ZA MAITI ??  

Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)



SWALI:

Je, inajuzu kuhifadhi nguo za maiti? Na ikiwa haijuzu, basi ni lilo bora kuzifanya?

EPUKA MAMBO HAYA EWE MUISLAM...!

بسم الله الرحمن الرحيم


Muhammad  Bin 'Abdil-Wahhaab Sulaymaan At-Tamiymiy

Jua ya kwamba mambo yanayomtoa Muislamu katika Uislamu ni mambo kumi:

Moja: 
Ni kumshirikisha Allaah Aliyetukuka katika ibada, Anasema Allaah:
“Hakika Allaah Haghufuri kushirikishwa; lakini Anaghufuria yasiyokuwa hayo kwa Amtakae.  Na yeyote atakayemshirikisha Allaah basi kwa yakini amepotoka upotofu wa mbali.” (An-Nisaa: 116)
Na Anasema Allaah:
“Hakika mwenye kumshirikisha Allaah bila shaka Allaah Atamharamishia Jannah, na makazi yake yatakuwa ni Motoni. Na madhalimu hawatopata mwenye kunusuru yeyote.” (Al-Maaidah: 72)
na miongoni mwa hizo shirki ni kuchinja kwa asiyekuwa Allaah kama anayechinja kwa ajili ya majini au makaburi.

Monday, February 19, 2018


WANAWAKE  TOENI SADAKA...
 MUSITEGEE HATA KIDOGO KATIKA HILI




AMESEMA MTUME MUHAMMAD (Swalla llahu a'leyh wassallam)

"Enyi kongamano  la  wanawake  TOENI SADAKA "

KWA HAKIKA  NIMEONA WINGI WA WANAWAKE MOTONI...

UFAFANUZI
Kwa hakika utoaji wa sadaka husaidia watu kuokoka na adhabu ya moto na wala wasione kuwa ni majukumu ya wanaume katika kutoa...

ALLAH ANAJUA ZAIDI

HAKIKISHA UNATAMKA HAYA



Ewe ngugu yangu katika imani..

Tambua kuwa ALLAH hana mshirika..

ALLAH ni mpweke..

ALLAH ni mlezi wa walimwengu..

ALLAH NI MLEZI WA VILE VILIVYOMO MBINGUNI, ARDHINI NA VILIVYOPO KATI YA  MBINGU  NA ARDHI

ALLAH ni mshindi mwenye nguvu na ni mpole mwenye kusamehe waja wake

Tuesday, January 9, 2018

KUPEANA SALAMU

Katika dini ya kiislamu tunafundishwa kupeana salamu punde unapokutana na muislamu mwenzio

hupungukiwi na chochote  pindi unapompa mwenzio salamu  BALI Huzidishiwa katika thabu zako.

Jitahidi kusalimia wenzio unapokutana nao na wala usisubiri kupewa salamu.

Jitahidi,   Jitahidi,  Jitahidi......